M Mohamed chakale New Member Apr 16, 2024 2 0 Apr 18, 2024 #1 Hivi Tanga technical school advance wanachukua kuanzia ufaulu upi?
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Oct 29, 2022 687 1,633 Apr 18, 2024 #2 Ufaulu ambao serikal umeweka ivo vigezo
M Mohamed chakale New Member Apr 16, 2024 2 0 Apr 19, 2024 Thread starter #3 ndo nilikua nauliza hivo vigezo mkuu
Kijibabu JF-Expert Member Apr 3, 2016 465 590 Apr 25, 2024 #4 Tanga tech sio special school, ipo level moja na shule nyingine zote za serikali zinazotoa elimu ya A level. Nadhani kigezo ni C3 kwenye masomo ya tahasusi husika.
Tanga tech sio special school, ipo level moja na shule nyingine zote za serikali zinazotoa elimu ya A level. Nadhani kigezo ni C3 kwenye masomo ya tahasusi husika.