moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,944 Jul 27, 2021 #1 Sasa itakuaje?
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,925 Reaction score 78,911 Jul 27, 2021 #2 Alaumiwe aliyemnasa kofi kauchanganya ubongo wa Mr. President. Tunakubaliana chanjo siyo lazima ila unasema nisinunue chakula mpaka nichanjwe. So nikifa kwa njaa haina shida? Dikteta.
Alaumiwe aliyemnasa kofi kauchanganya ubongo wa Mr. President. Tunakubaliana chanjo siyo lazima ila unasema nisinunue chakula mpaka nichanjwe. So nikifa kwa njaa haina shida? Dikteta.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,869 Jul 27, 2021 #3 Kutochanja ni haki yako kabisa,lkn nasi wenye maduka ya vyakula kuto kukuuzia chakula ni haki yetu. Fair game.
Kutochanja ni haki yako kabisa,lkn nasi wenye maduka ya vyakula kuto kukuuzia chakula ni haki yetu. Fair game.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,672 Reaction score 130,532 Jul 27, 2021 #4 Castr said: Alaumiwe aliyemnasa kofi kauchanganya ubongo wa Mr. President. Tunakubaliana chanjo siyo lazima ila unasema nisinunue chakula mpaka nichanjwe. So nikifa kwa njaa haina shida? Dikteta. Click to expand... Lile kofi sio jambo dogo, inabidi apigwe tena kuweka settings sawa
Castr said: Alaumiwe aliyemnasa kofi kauchanganya ubongo wa Mr. President. Tunakubaliana chanjo siyo lazima ila unasema nisinunue chakula mpaka nichanjwe. So nikifa kwa njaa haina shida? Dikteta. Click to expand... Lile kofi sio jambo dogo, inabidi apigwe tena kuweka settings sawa