Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,931
Ushawishi wa kwanini watoe hela hizo pengine haujafanyika.Nilipoona leo, sio tuu nikafarijika, bali nilihuzunika hawa waliokuwa wakoloni wetu hawajajoa hata senti tano!.
Asante Mfaransa.
Nilipoona leo, sio tuu nikafarijika, bali nilihuzunika hawa waliokuwa wakoloni wetu hawajajoa hata senti tano!.
Asante Mfaransa.
Nilipoona leo, sio tuu nikafarijika, bali nilihuzunika hawa waliokuwa wakoloni wetu hawajajoa hata senti tano!.
Asante Mfaransa.
Sahihisho UK hawakuwa wakoloni wetu, ndio sababu walijenga sana Kenya ambao ndio walikuwa koloni lao.
Kwa Kiswahili Waingereza walikuwa wakoloni wetu. I know that we were a protectorate, but that is in English.
Tunapoimba tulimng'oa mkoloni wewe unadhani tunakosea?
Wachai,
Tunapoimba "tumewang'oa wakoloni" hatuwezi kuwa na maana ya kuwang'oa Wajerumani. Hatukuwang'oa Wajerumani; waling'olewa na Waingereza. Na sisi tukawang'oa hao wang'oaji.
Labda utupe 'definition" yako ya neno MKOLONI. Si lazima neno mkoloni litokane na neno COLONY. Narudia kusema kwamba kwa Kiswahili, colony, protectorate zote ni UKOLONI tu. Mngereza alikuwa mkoloni wetu. Hata yeye anajua hivyo.
Maoni Yangu:
Kuchangia Red Cross ya Tanzania ndiyo njia ya uhakika zaidi ya kujiandaa kwa maafa kwa kujiandaa na majanga. Nawashukuru Ufaransa kwa kuona kile ambacho tulikiona wengine mapema zaidi. Inasikitisha hata hivyo bado taasisi zetu za ndani hazijaona umuhimu wa kuitikia wito huu. Nina uhakika wanasubiri janga litokee ndio waanze kuchangia tena.
Maria Roza.. mbona tunafuata ubepari sasa kwa karibu miaka 25.. ?