Waarabu wameandaa kombe la dunia la heshima nadhani mzungu anajitafakari sana. kuanzia mwanzo mwisho ni utaratibu
Jinsi walivyo design stage nadhani wengine wakaige. Kweli wameonesha jeuri ya pesa.
Ile jukwaa la kupokelea kombe ni noma, wengine wanaweka ka jukwaa kama ka kipaimala. Au ubatizo wa mtoto