lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu hili suala la majini, hivi ni viumbe gani? visivyoonekana? Je majini yana zaliana kama binadamu na yanakufa? Nini hasa chanzo cha hawa viumbe majini? tujuzane wakuu
wakuu hili suala la majini, hivi ni viumbe gani? Visivyoonekana? Je majini yana zaliana kama binadamu na yanakufa? Nini hasa chanzo cha hawa viumbe majini? Tujuzane wakuu
Ngoja faiza fox aje ana undugu na hii midude aje akudadavuvulie kwa kina
Wakuu hili suala la majini, hivi ni viumbe gani? visivyoonekana? Je majini yana zaliana kama binadamu na yanakufa? Nini hasa chanzo cha hawa viumbe majini? tujuzane wakuu
Majini ni viumbe vilivyoumbwa na mwenyezimungu ili vije kumuabudu kama binadamu,jini aliye asi anaitwa shetani ni kama kwa binadamu mwizi na vibaka.Majini hatuwaoni sisi wanadamu ila mbwa na punda wanawaona.Ila jini anatuona sisi bali sisi hatumuoni.Ndio majini wanazaliana na idadi yao ni wengi zaidi ya binadamu,vilevile majini wanakufa ila wanaishi miaka mingi sana zaidi ya miaka 4000 wengine wanaishi na kuna baadhi yao wamewaona mitume waliotangulia.