Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Wakuu habarini za humu? Leo nimependa nishee ujuzi wangu kidogo wa masuala ya silaha, huwenda kuna wadau wanaona/wanazo lakini huenda wanafahamu kwa uchache. Please kama una swali lolote(ofcoz lililo ndani ya uwezo wangu) ambalo unahisi hufahamu khs bunduki (hasa kama unayo itakuwa vyema sana), nitapenda kushea nawe machache ktk process zote za shooting.
Pia unaweza tembelea www.idahohuntingcourse.com ni elimu iliyowazi tu hakuna tena "imezuiliwa"(kwa waliopita jeshini wananielewa)
Pia unaweza tembelea www.idahohuntingcourse.com ni elimu iliyowazi tu hakuna tena "imezuiliwa"(kwa waliopita jeshini wananielewa)