Edgar 8900
Member
- Jun 8, 2022
- 24
- 9
Kuna kozi mpya inaitwa BACHELOR DEGREE IN AGRIBUSINESS MANAGEMENT AND TECHNOLOGY pale MUST mwenye uelewa anisaidie
Asante bossNafikiri agribusiness inajikita zaidi katika masuala ya biashara zaidi kama usambazaji wa mbegu,farm machinery utengenezaji
Na pia chemicals kama mbolea
Sijasomea kilimo ila nimewazia tu
Asante boss