Beso nikiwa Katibu Mkuu wa Yanga kipindi cha 2003-2005 nilibuni na kusimamia zoezi la kutengeza hii logo ya Yanga baada ya kuona ile ya zamani imepitwa na wakati. Mwenge kwa wanayanga una umuhimu wa kipekee maana ukifuatilia historia ya Yanga ni vigumu kuitenga na harakati za kutafuta uhuru wa nchi hii, na harakati hizi kwa Zanzibar Yanga walikuwa na ukaribu na African Association.Mwenge uliwashwa mahsusi kwa ajili ya kutoa nuru na matumaini kwa watanzania mara baada ya uhuru,Yanga ilikuwa ni sehemu kubwa ya ushiriki wa kupata uhuru huu ndo maana Yanga hawataki kupoteza hii connection ya kihistoria.View attachment 148339
Kwenye logo hii ya klabu ya yanga kuna alama ya mwenge,tulifahamishwa maana ya mwenge wa uhuru uliowashwa na kuwekwa kwenye kilele cha mlima kilimanjaro tarehe 9/12/1961 ulikuwa na malengo ya
1.kuangaza nchi pamoja na mipaka yake
2.kuleta matumaini pale yalipokosekana
3.kuleta upendo pale penye uhasama
4.kuleta heshima pale penye kudharauliwa.
aidha ujumbe wake umekuwa ukibadilika mwaka hadi mwaka!!!!JE HUU MWENGE KWENYE LOGO YA WANAJANGWANI UNA MAANA GANI? NAOMBA KUELIMISHWA!
Beso nikiwa Katibu Mkuu wa Yanga kipindi cha 2003-2005 nilibuni na kusimamia zoezi la kutengeza hii logo ya Yanga baada ya kuona ile ya zamani imepitwa na wakati. Mwenge kwa wanayanga una umuhimu wa kipekee maana ukifuatilia historia ya Yanga ni vigumu kuitenga na harakati za kutafuta uhuru wa nchi hii, na harakati hizi kwa Zanzibar Yanga walikuwa na ukaribu na African Association.Mwenge uliwashwa mahsusi kwa ajili ya kutoa nuru na matumaini kwa watanzania mara baada ya uhuru,Yanga ilikuwa ni sehemu kubwa ya ushiriki wa kupata uhuru huu ndo maana Yanga hawataki kupoteza hii connection ya kihistoria.

Ni nini hiki? Walikuwa wanajishughulisha na nini wakati wa harakati za uhuru? Fafanua mh. rais!
hivi kuna mtanzania anayejua historia ya nchi hii, halafu bado asishabikie yanga?
Beso nikiwa Katibu Mkuu wa Yanga kipindi cha 2003-2005 nilibuni na kusimamia zoezi la kutengeza hii logo ya Yanga baada ya kuona ile ya zamani imepitwa na wakati. Mwenge kwa wanayanga una umuhimu wa kipekee maana ukifuatilia historia ya Yanga ni vigumu kuitenga na harakati za kutafuta uhuru wa nchi hii, na harakati hizi kwa Zanzibar Yanga walikuwa na ukaribu na African Association.Mwenge uliwashwa mahsusi kwa ajili ya kutoa nuru na matumaini kwa watanzania mara baada ya uhuru,Yanga ilikuwa ni sehemu kubwa ya ushiriki wa kupata uhuru huu ndo maana Yanga hawataki kupoteza hii connection ya kihistoria.
Hivi kuna mtanzania anayejua historia ya nchi hii, halafu bado asishabikie Yanga?
Kwani Simba huwasikiagi wakiwa wanashangiria? Ccm, ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm, siunajua kabla ya ccm kulikuwa na tanu? Ndio walewale, Yanga ni timu ya Chama
Beso nikiwa Katibu Mkuu wa Yanga kipindi cha 2003-2005 nilibuni na kusimamia zoezi la kutengeza hii logo ya Yanga baada ya kuona ile ya zamani imepitwa na wakati. Mwenge kwa wanayanga una umuhimu wa kipekee maana ukifuatilia historia ya Yanga ni vigumu kuitenga na harakati za kutafuta uhuru wa nchi hii, na harakati hizi kwa Zanzibar Yanga walikuwa na ukaribu na African Association.Mwenge uliwashwa mahsusi kwa ajili ya kutoa nuru na matumaini kwa watanzania mara baada ya uhuru,Yanga ilikuwa ni sehemu kubwa ya ushiriki wa kupata uhuru huu ndo maana Yanga hawataki kupoteza hii connection ya kihistoria.
1.kuangaza nchi pamoja na mipaka yake
2.kuleta matumaini pale yalipokosekana
3.kuleta upendo pale penye uhasama
4.kuleta heshima pale penye kudharauliwa.
Beso nikiwa Katibu Mkuu wa Yanga kipindi cha 2003-2005 nilibuni na kusimamia zoezi la kutengeza hii logo ya Yanga baada ya kuona ile ya zamani imepitwa na wakati. Mwenge kwa wanayanga una umuhimu wa kipekee maana ukifuatilia historia ya Yanga ni vigumu kuitenga na harakati za kutafuta uhuru wa nchi hii, na harakati hizi kwa Zanzibar Yanga walikuwa na ukaribu na African Association.Mwenge uliwashwa mahsusi kwa ajili ya kutoa nuru na matumaini kwa watanzania mara baada ya uhuru,Yanga ilikuwa ni sehemu kubwa ya ushiriki wa kupata uhuru huu ndo maana Yanga hawataki kupoteza hii connection ya kihistoria.
Mh President vipi umerudisha kadi ya uanachama? samahani lakini kama nimekukwaza
View attachment 148339
kwenye logo hii ya klabu ya yanga kuna alama ya mwenge,tulifahamishwa maana ya mwenge wa uhuru uliowashwa na kuwekwa kwenye kilele cha mlima kilimanjaro tarehe 9/12/1961 ulikuwa na malengo ya
1.kuangaza nchi pamoja na mipaka yake
2.kuleta matumaini pale yalipokosekana
3.kuleta upendo pale penye uhasama
4.kuleta heshima pale penye kudharauliwa.
Aidha ujumbe wake umekuwa ukibadilika mwaka hadi mwaka!!!!je huu mwenge kwenye logo ya wanajangwani una maana gani? Naomba kuelimishwa!