Ufafanuzi kuhusu ajira za community healthy program

Ufafanuzi kuhusu ajira za community healthy program

noel mahenge

Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Kuna taarifa kua ajira kwa wahitimu wa community healthy program zimetoka lakini wahusika wapo gizani, kwa anae elewa jamani tujuzane.
 
Kuna taarifa kua ajira kwa wahitimu wa community healthy program zimetoka lakini wahusika wapo gizani, kwa anae elewa jamani tujuzane.
Toa maelezo kamili mkuu, vijana wana njaa sana. Zimetoka wapi maana ajira zote hutangazwa kwa umma
 
Alienambia anadai na yy kaambiwa na mkuu wa chuo alokosoma na kumuona tna hawez mana kasafir so nkaona nlilete kwenu Wana jamii forum pengne nanyi mmesikia
 
Kada ya afya ajira bado hazijatolewa..kwahiyo asubiri tu
 
Back
Top Bottom