S shimwa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,906 Reaction score 1,439 Jan 27, 2018 #1 Samahani wana jamvi mwenye kujua tasisi au shirika linalotoa udhamini wa masomo ya chuo nje ya nchi anisaidie kuna mtoto wa Dada yangu amemaliza iv anahitaji kusoma sayansi samahani kwa usumbufu
Samahani wana jamvi mwenye kujua tasisi au shirika linalotoa udhamini wa masomo ya chuo nje ya nchi anisaidie kuna mtoto wa Dada yangu amemaliza iv anahitaji kusoma sayansi samahani kwa usumbufu
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,747 Jan 28, 2018 #2 Mwambie aende advance
impelle JF-Expert Member Joined Jan 20, 2017 Posts 832 Reaction score 1,110 Jan 28, 2018 #3 Hata kujieleza hujui, Nadhan ungeeleza vizuri, tofauti na hapo hujui unachokitafuta hivyo huwezi kupata msaada
Hata kujieleza hujui, Nadhan ungeeleza vizuri, tofauti na hapo hujui unachokitafuta hivyo huwezi kupata msaada