Habari wana JF, naombeni alie na uzoefu huu aliekeze hapa chini ;-
1).Je CEO wa kampuni vitu gani hasa ( vya siri ) anatakiwa apambane navyo ili kulinda kampuni yake
2). Ni vigezo gani matajiri wengi wanavitumia katika kuchagua board of directors .
Naombeni munisaidie hilo .