Habari,-Tunakuhitaji kwenye usaili na mafunzo ya kazi kwa ajili ya nafasi ya kazi uliyoomba.Unatakiwa kuchangia gharama ya Malazi na chakula wakati wa usaili na mafunzo ya kazi ambayo yatafanyika kwa muda wa siku 4 kwa maana ya siku moja(1) ya usaili wa kufahamiana na siku tatu(3) za mafunzo na maelekezo ya kazi,kiasi ni Tsh. 65,000/- kwa muda wote- na unatakiwa kutuma malipo hayo kwa njia ya Airtel Money kwa namba hii 0783438478,malipo hayo yanalipwa mara moja tu na yanatakiwa kutufikia mapema jumapili kabla ya wewe kuanza safari jumatatu ili tuweze kufanya maandalizi kwa ajili ya malazi na chakula chako wakati wa usaili na mafunzo ya kazi kwa muda huo wa siku nne(4).Tafadhali unatakiwa kufika mtwara siku ya jumatatu ili kupokelewe na kufika ofisini kwetu.Usaili na mafunzo ya kazi utafanyika;-Mahali: Ofisini Adexec Oil & Gas MtwaraTarehe: Jumanne 22/09/2014Muda: Jumanne- Kuanzia Saa 02:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni hii ni kwa siku moja(1) ya usaili wa kufahamiana na kuangalia vigezo vya muombaji kaziMuda: Jumatano,Alhamisi kuanzia saa 04:00 asubuhi mpaka saa 11:00 jioni hii ni kwa siku tatu (3) za mafunzo ya kazi kwa vitendo.-Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba hapo juu. -RegardsKelvin Mabwe. Adexec Oil & Gas-Sent:-friday, sept 19, 2014 at 8:40 AM. From:-" :-"mabwe@adexec.com" <mabwe@adexec.com>Subject:-call for interview