ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,426
- 24,148
Misimu mitano makombe matano still gaucho hakua mbaya kama unavyodhani
Hayo ya nje ya uwanja mimi hayanihusu akhui...nnachoongelea hapa ni ufundi + mafanikio ndani ya uwanja.. hii ndio point yangu.
Gaucho atakumbukwa kwa lipi pale Barca?
GAUCHO 2003-2008
Winner:
La Liga (2): 2004–05, 2005–06 mara 2
UEFA Champions League: 2005–06 mara 1
Supercopa de España (2): 2005, 2006 mara 2
Ballon d' ore amechukua mara 1 tu....haya ndio mafanikio katika timu!!
Sasa huyu utamlinganisha na Messi kweli! Mwenye La liga 10..Uefa 4..Copa del-rey 6..Supercopa de espana 8..Uefa super cup 3..Fifa club w/c 3..na Ballon de' ore 5 and 6 is download....!!!!!
La liga best player mara 8..La liga best foward mara 7..Fifa Club World Cup Golden Ball ameshinda mara 2..Pichichi Trophy ameshinda mara 6..ana magoli mengi zaidi + freekicks goals nk!!!
Jamani hata kama ni chuki sio hivyo tena, mpeni haki yake huyu mja ndivyo Mungu alivyomjaalia kiumbe chake! Duh! Sipati picha mafanikio haya angeyapaya Gaucho naamini kabisa pasingezungumzika humu!
G_real

ufundi wake umeipatia mafanikio gani timu yake zaidi ya kuruka ruka na kupiga watu kanzu hayo ndio mafanikio katika timu mkuu!!! Kama ni skills, dribbling, playmaker, goals scorers, freekicks na maudambwi yote + mafanikio Messi is everything...Gaucho nimemfuatilia hata kwa Zidane, Iniesta na Cr7 ni kimeo tu hana lolote unampamba tu..sembuse Messi anaeshindanishwa na akina Maradona na Pele!!! Kuwa serious Wanjiru!
