UEFA Champions League kwenye Visimbuzi vya Dstv na Canal+

Tafuta pesa mkuu upunguze mawazo yasiyo kamilika

Unataka kusema ata waonesha mpira wa vibandani hawafiki mia tano tanzania nzima
Wanafika ila sio active kwa maana ya kulipia mara kwa mara.
.
Mimi pesa nitafute za nini umri umeshanitupa mkono nimezisaka ujanani huko tafuteni nyie nakula pensheni yangu tu ila madish sijaacha kufunga 😂
 
Sijasema wanaonyesha, nimesema wanazidi kupigwa za uso.
.
Yani DSTV sidhani hata kama ina wateja active 500 kwa kweli wengi yapo kama ulembo tu
Hebu acha kunitingisha ninaangalia aircrash investigation now jamaa wa NTSB vipanga wameitwa
 
Wanafika ila sio active kwa maana ya kulipia mara kwa mara.
.
Mimi pesa nitafute za nini umri umeshanitupa mkono nimezisaka ujanani huko tafuteni nyie nakula pensheni yangu tu ila madish sijaacha kufunga

Iyo pensheni gani unashindwa lipia ata kifurushi cha 84,000

Sasa wanafika na sio active kivipi wakati ndio biashara yao?sawa na useme mangi anauza ila hanunui mzigo
 
Mia tano Tanzania nzima ambayo yako active kwa maana wanayalipia wenye nayo.
.
Mimi namalizaga hata miezi sita sijalipia sasa mimi ni mteja active au mteja hewa?
Alafu hawana hata wateja wengi sasa kwa taarifa yako dealers wa visimbuzi najuana nao sana kwa sababu ni sehemu ya kazi yangu
Dodoma yani ukitaka udodewe na biashara nunua DSTV ukitaka uuze nunua Azam
Sasa unakaa chang'ombe huko kwa wanyonge utaonaje watumiaji wa dstv? Hebu pita hapa njia panda ya Area D kama unaenda Royal village utaona vijana wa dstv wanapiga hela
 
Chang'ombe ulinipeleka wewe?
 
Iyo pensheni gani unashindwa lipia ata kifurushi cha 84,000

Sasa wanafika na sio active kivipi wakati ndio biashara yao?sawa na useme mangi anauza ila hanunui mzigo
Mzee mimi sitaniii ufundi wa madish nimeanza kuufanya toka nikiwa kijana mdogo uhuni wa kuchezea hivi vidude naufanya hadi kesho.
.
Mwaka huu toka uanze nimefunga DSTV 3 ila Azam mwezi hui tu nimefunga 18 84 elfu ni pesa nyingi sanaaa kwa mTanzania wa kawaida hawezi kuimudu wengi hata hao active wanalipia Bomba wakilipia zaidi ya hapo familia itaanza kula mlo mmoja.
.
Bei ya DSTV kwa sasa ni 79K kifurushi cha kuvutia zaidi 84K hii ni akili au matope?
Mtumishi wa kawaida mwenye mshahara wa laki nne-tano unadhani ataiweza?
.
DSTV zipo sana kwenye vibanda umiza na sehemu kama bar hivi na mahotel nako replacement ameanza kuwa Azam hahahaha siku akija Kwèse ndio kifo cha DSTV rasmi kitakuwa kimefika
 
Hebu acha kunitingisha ninaangalia aircrash investigation now jamaa wa NTSB vipanga wameitwa
😂😂😂😂 ndani ya National Geographic sawa mzee.
Mimi napenda nyoka kwa hiyo snake in the city sijawahi kuikosa
 
Mia tano Tanzania nzima ambayo yako active kwa maana wanayalipia wenye nayo.
.
Mimi namalizaga hata miezi sita sijalipia sasa mimi ni mteja active au mteja hewa?
Alafu hawana hata wateja wengi sasa kwa taarifa yako dealers wa visimbuzi najuana nao sana kwa sababu ni sehemu ya kazi yangu
Dodoma yani ukitaka udodewe na biashara nunua DSTV ukitaka uuze nunua Azam

Kwa hiyo wewe ukishindwa kulipia mwezi mzima basi wote wameshindwa..kwa nini hali ya maisha yako unachukulia ndio ya watanzania wote...

Halafu hiyo Dodoma si ndio inayoongoza kutoa ombaomba nchini sasa Dstv wataijulia wapi.?
 
Utakuwa umetumwa na washindani wa dstv, tatizo unakosea step za kupromote kampuni nyinginezo

Umeanza na kwamba hata wateja active-500 hawafiki nchi nzima

Nyingine ukasema wateja wengi wanalipia kifurushi cha bomba,,, as if kwenye malipo huwa wanakuita kuconfirme malipo yao, na blah blah nyingine ulizoongeza

Nimeona unapenda kuambukiza njaa yako kwa watu wote yaank wewe ukilala njaa unahisi watu wote dunia nzima wamelala njaa
Mzee mimi sitaniii ufundi wa madish nimeanza kuufanya toka nikiwa kijana mdogo uhuni wa kuchezea hivi vidude naufanya hadi kesho.
.
Mwaka huu toka uanze nimefunga DSTV 3 ila Azam mwezi hui tu nimefunga 18 84 elfu ni pesa nyingi sanaaa kwa mTanzania wa kawaida hawezi kuimudu wengi hata hao active wanalipia Bomba wakilipia zaidi ya hapo familia itaanza kula mlo mmoja.
.
Bei ya DSTV kwa sasa ni 79K kifurushi cha kuvutia zaidi 84K hii ni akili au matope?
Mtumishi wa kawaida mwenye mshahara wa laki nne-tano unadhani ataiweza?
.
DSTV zipo sana kwenye vibanda umiza na sehemu kama bar hivi na mahotel nako replacement ameanza kuwa Azam hahahaha siku akija Kwèse ndio kifo cha DSTV rasmi kitakuwa kimefika
 
Nimemshangaa huyu jamaa sijui ni umaskini au ujinga?

Bila pia wanadhani maduka pale mlimani city hayauzi nguo ..wacha wenye kipato watumie kilicho bora

Niliwai kwenda bar moja nikakuta wanaangalia football kupitia canal aisee nilishindwa unakosa utamu wa kina peter na john champion
 
Mzee mimi sitaniii ufundi wa madish nimeanza kuufanya toka nikiwa kijana mdogo uhuni wa kuchezea hivi vidude naufanya hadi kesho.
.
Mwaka huu toka uanze nimefunga DSTV 3 ila Azam mwezi hui tu nimefunga 18 84 elfu ni pesa nyingi sanaaa kwa mTanzania wa kawaida hawezi kuimudu wengi hata hao active wanalipia Bomba wakilipia zaidi ya hapo familia itaanza kula mlo mmoja.
.
Bei ya DSTV kwa sasa ni 79K kifurushi cha kuvutia zaidi 84K hii ni akili au matope?
Mtumishi wa kawaida mwenye mshahara wa laki nne-tano unadhani ataiweza?
.
DSTV zipo sana kwenye vibanda umiza na sehemu kama bar hivi na mahotel nako replacement ameanza kuwa Azam hahahaha siku akija Kwèse ndio kifo cha DSTV rasmi kitakuwa kimefika

Sasa kumbe unatambua dstv ipo ila kupotosha kwako unasema haifiki 500 kwa active watumiaji

Dstv kifurushi cha 84,000 watanzania wengi wana mudu sema mimi ndio siwezi mudu iko kifurushi...afu kumbe ni fundi dish unapatikania wapi nikupe kazi
 
Unataka kuleta dharau sasa kisa nimekwambia nafungaga madish?
Hii kazi nimeanza toka na miaka 15.
.
Nimetumia kigezo cha kufunga madish ili nieleweke haraka nipe kazi hiyo nije nifunge na sio kwamba sina uwezo wa kulipia 84K nitazame UEFA mimi naangalia bure sijawahi kulipia hata thumni.
.
Nina kisimbuzi ambacho napata channels zote hizo zako unazolipia 84 mimi napata bure za Azam napata bure startimes ndio hadi wakinikamata watanifungulia kesi ya uhaini
 
canal+ nadhani ni ya wafaransa maana imetapakaa sana Burundi Rwanda na drc ni kweli bei yao ni nafuu sana ila itabidi upate mtu kutoka huko aweze kukulipia
 
Unataka kuleta dharau sasa kisa nimekwambia nafungaga madish?
Hii kazi nimeanza toka na miaka 15.
.
Nimetumia kigezo cha kufunga madish ili nieleweke haraka nipe kazi hiyo nije nifunge na sio kwamba sina uwezo wa kulipia 84K nitazame UEFA mimi naangalia bure sijawahi kulipia hata thumni.
.
Nina kisimbuzi ambacho napata channels zote hizo zako unazolipia 84 mimi napata bure za Azam napata bure startimes ndio hadi wakinikamata watanifungulia kesi ya uhaini

Unajidharau wewe na kazi yako ,kuamisha dish na kufunga upya una charge shilingi ngapi na unapatikana wapi?

Sasa kama unapata bure mbona unakuja kulalamika sasa huku kwa mtandao kwamba vifurushi ni bei
 
Nionyeshe nilipolalamika kuhusu bei kubwa kwamba nashindwa kulipia.
Mimi nimesemea wateja wangu ambao 100% ni watumishi wa umma yani hawalipii kabisa.
.
Nafunga mpya tu na ununue dukani kwangu
 
Tatizo hao wenye details za hiyo Canal+ wameatamia informations utadhani wananadi bangi.

Maswali yameulizwa hapo ila kujibiwa hadi muende chamber!

Bei, office etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom