Bado timu za Spain zitaendelea kutesa ulaya. Tayari wameingiza timu nne. Barcelona, Real Madrid, Atletico Madrid, na sevilla. Wapinzani wao ni dhaifu na sioni ni kwa namna gani spain wasiingize timu nne robo fainal.

Mahaba kwako Nifah
Wambea wako bize kuliko wenye shughuli. Wengi waliojaa humu ni wale wanaoshiriki ile ligi ya alhamisi, siku ambayo mimi huwa niko bize na FUTUHI