Mimi nafikiri muda huu ndugu zetu wa FUTUHI badala ya kushobokea mambo ya Arsenal wangekaa chini kutafakari kwamba Best Losers wa UCL nao wanaenda huko kuwabaka.
Naombea Wanteser United vs Ludogorets Razgards
Baada ya Maureen kumsifiaMkhitaryan kwa kufunga bao dhidi ya timu ngumu ya Zorya FC ya Bangladesh, sasa akutane na timu laini ili hata Rooney naye afunge