UEFA Champions league anthem.

UEFA Champions league anthem.

Ni wimbo mzuri sana kila nikiusikia nakumbuka fainali ya mwaka 1999 Manchester United na Beyern Munich dakika 89 Beyern bado wanaongoza bao moja Baby face akasawazisha dakika za nyongeza Teddy akatupia bao la pili hii ndiyo ilikuwa fainali bora zaidi kuwahi kutokea nyingine zote ushuz.iiiii mtupu.

Mwaka huu Man itafika fainali na kuchukua ndoo hatuna haja ya kukamata nafasi ya nne EPL

Copy Wacha1 Nzi
79054301-1652023.jpg
 
mmmmhhhhhhh unakumbusha utamu na machungu ya ushindi na kufungwa tu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom