UEFA Champions league anthem.

UEFA Champions league anthem.

jelenga

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
66
Reaction score
37
Heshima kwenu wadau.
Jamani huu wimbo nikiusikia huwa unanikumbusha fainali ya Liver na Milan 2004. Wewe mdau huwa unakukumbusha fainali ipi?
Mwenye clips ya huu wimbo naomba anisaidie ntashukuru.
Pia ntafurahi nkipata kujua mtunzi wake ni raia wa wapi.
Asanteni wadau.
 
2004 UEFA CL FINAL was fc porto vs monaco.....karibu jukwaa la michezo.
 
Heshima kwenu wadau.
Jamani huu wimbo nikiusikia huwa unanikumbusha fainali ya Liver na Milan 2004. Wewe mdau huwa unakukumbusha fainali ipi?
Mwenye clips ya huu wimbo naomba anisaidie ntashukuru.
Pia ntafurahi nkipata kujua mtunzi wake ni raia wa wapi.
Asanteni wadau.

Unanikumbusha 1996 CL final: Ajax v/s Juventus
Ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuangalia live CL final enzi hizo ni DTV pekee ndio walikuwa wakionyesha
 
Heshima kwenu wadau.
Jamani huu wimbo nikiusikia huwa unanikumbusha fainali ya Liver na Milan 2004. Wewe mdau huwa unakukumbusha fainali ipi?
Mwenye clips ya huu wimbo naomba anisaidie ntashukuru.
Pia ntafurahi nkipata kujua mtunzi wake ni raia wa wapi.
Asanteni wadau.

Nadhani mwaka 2005 unahusika au Porto Vs Monaco inahusika.
 
Dah huwa nakumbuka Terry anakosa penalti fainali dhidi ya Man U, inaniuma hadi leo.
 
Inanikumbusha Ole Gunnar Solskjaer anafunga goli la ushindi dk za Mwisho kabsa, ilikuwa ni Fainali ya kihistoria.
 
nyimbo nnayo kama upo Whatsapp nipe namba yko nikutumie
 
huu wimbo nasikia ni muunganiko wa lugha zipatazo 7.

ukitaka kupata utam au uchungu wa huu wimbo ni pale unapopigwa kabla kipindi cha pili hakijaanza ndio knaelekea kuanza na team unayoshabikia iwe imefungwa.
 
Huo wimbo ni kwa ajili ya Wenger na Arsenal mwaka huu... Ni Mwaka wao wa kubeba hilo kombe.
 
Kumbuka bonge la mechi kati ya baryenlevekusen na realmadrid bao safi la zizou liliipa kombe madrid
 
Inanikumbusha Ole Gunnar Solskjaer anafunga goli la ushindi dk za Mwisho, ilikuwa ni Fainali ya kihistoria

Yeah! 1999, dk ya 88 Bayern Munich 1 Man Utd 0, Teddy Sheringham leveled dk '89, then OLE katupa ubingwa!
 
Nawashukuru sana wadau kwa michango yenu mizuri. Basi mi Leo, presha juu, nawaza kama tutachomoka kwa Man City Leo. Barca imekuwa ikinipa presha Sana kwa siku za hivi karibuni.
 
Ni wimbo mzuri sana kila nikiusikia nakumbuka fainali ya mwaka 1999 Manchester United na Beyern Munich dakika 89 Beyern bado wanaongoza bao moja Baby face akasawazisha dakika za nyongeza Teddy akatupia bao la pili hii ndiyo ilikuwa fainali bora zaidi kuwahi kutokea nyingine zote ushuz.iiiii mtupu.

Mwaka huu Man itafika fainali na kuchukua ndoo hatuna haja ya kukamata nafasi ya nne EPL

Copy Wacha1 Nzi

Heshima kwenu wadau.
Jamani huu wimbo nikiusikia huwa unanikumbusha fainali ya Liver na Milan 2004. Wewe mdau huwa unakukumbusha fainali ipi?
Mwenye clips ya huu wimbo naomba anisaidie ntashukuru.
Pia ntafurahi nkipata kujua mtunzi wake ni raia wa wapi.
Asanteni wadau.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Man u ikishika ndo bac klabu zte duniani zinajiuzuli....... Kwa ubora gni ambao mnao mchukue ndo
 
Nakumbuka John Terry alivyoteleza wakati akipiga penati, na Van De Sar alivyookoa penati ya Anelka na kuipa United taji la tatu la UCL, nyumbani kwa tajiri wa Chelskis.....
 
Gonga link hiyo mkuu,

UEFA Champions League Anthem - Wikipedia, the free encyclopedia

Bila shaka ni fainali ya 2005, hadi half time AC Mil 3 0Liver, hapo Sheva hajatupia! excited, subiri second half sasa!

Good send off of Smicer & man him self Didier Hatman (unsungo hero of that night) change the Liverpool engine room completely!
33333.jpg

LFC05ECFPC3.jpg
 
Huo wimbo ni kwa ajili ya Wenger na Arsenal mwaka huu... Ni Mwaka wao wa kubeba hilo kombe.

AssAnal hii sio ligi yenu. Mtaambulia kila mwaka kujisifia kuingia CL lakini hamjashinda hii ndoo hata mara moja na hamtoichukua hii ndoo kwa kikosi mlichonacho kwa sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom