Hawo wa italiano lazima wakutane hapo.madrid vs Bayern kama naiona vileSiku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league...
Utachakazwa kama mwenzako Liverpool.City tunamtaka Madrid.
Madrid wanabebwa na vibahati uchwara tu akikutana na wababe wenzie, liva ni wabovu ndio maana kawaonea.Utachakazwa kama mwenzako Liverpool.
Mkuu Ac Milan katoka na Chelsea kundi moja, hawawezi kukutana.Madrid vs napoli
Man city vs bayern
Inter vs benfica
Ac milan vs chelsea
Anza kujiuliza kwanza alimfunga vipi Psg + Chelsea kabla ya kukufikia wewe Man City na akamalizia na Liverpool ambaye alikuwa One point behind you in EPL last season. Kwahiyo hakuna bahati uchwara waliwazidi mbinu tu.Madrid wanabebwa na vibahati uchwara tu akikutana na wababe wenzie, liva ni wabovu ndio maana kawaonea.
Tunamtaka atueleze zile goli 2 za jioni alitufunga vipi.
Huyu xavi kwa nini hafukuzwi?Siku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league...
Hii ndio robo au nusu fainaliMadrid vs napoli
Man city vs bayern
Inter vs benfica
Ac milan vs chelsea
Bas ac milan vs benficaMkuu Ac Milan katoka na Chelsea kundi moja, hawawezi kukutana.
Hawabebwi ..wanapanga wao drawMadrid wanabebwa na vibahati uchwara tu akikutana na wababe wenzie, liva ni wabovu ndio maana kawaonea.
Tunamtaka atueleze zile goli 2 za jioni alitufunga vipi.