UEFA Champions League 2014/15 Special Thread

city kipindi cha kwanza amekamatwa, ila kipindi cha pili atarudi kivingine
 
Bayern Munich Subs: Reina, Dante, Robben, Shaqiri,
Pizarro, Rode, Hojbjerg.
Bayern Munich (4-1-4-1): Neuer; Rafinha, Boateng,
Benatia, Bernat; Alonso; Götze, Lahm, Müller, Alaba;
Lewandowski.

Huyu Reina angetulia zake Napoli akala maisha. Sasa huku Bayern karifuata benchi, na hata zile ndoto zake za kuwa 1st eleven ya Spain zimefikia ukingoni.
 
Huyu Reina angetulia zake Napoli akala maisha. Sasa huku Bayern karifuata benchi, na hata zile ndoto zake za kuwa 1st eleven ya Spain zimefikia ukingoni.

Napoli walishindwa mshahara wake,Bayern ameenda kuboresha CV yake posibility ya kubeba makombe ni kubwa
 
Napoli walishindwa mshahara wake,Bayern ameenda kuboresha CV yake posibility ya kubeba makombe ni kubwa

Kama ndio hivyo, target yake itakua ni UEFA Champions League.
 
Kama ndio hivyo, target yake itakua ni UEFA Champions League.

Yap even domestic cup,Reina bado hajachukua ubingwa kwenye ligi alizocheza,nafikiri amechukua Carling,FA na Coppa Italia
 
Jana,akiingia dakika ya 75 kuchukua nafasi ya Drogba,hajapiga hata kashuti ka maana langoni. Wajerumani wakakaba hadi kivuli. Yaani unazifunga nyanya za Uingereza ndio unajisifusifu hovyo. Diego Costa hakuna lolote. Heri Messi na Ibrahimovic waliotoa pasi za mabao jana. Na hiyo ndiyo CL,kipimo cha juu cha soka la Ulaya. Waulizeni Man City watawaambia....huku bingwa...huku kibonde.
 

Mkuu Costa ni hatari ila ysonesha anakabika
 
mods unganisha huu uzi na chelsea huyu hajui hata anaongea nini..
 

Chelsea hawezi kuwa kibonde hata siku moja CL, usiifananishe na timu yoyote ya Uingereza. Costa jana hakuwa fiti kucheza ile game na ndio maana alianzia bench. Nina imani unalijua hilo ila ni uchokozi tu.

Chelsea ndio timu itakayofika fainali kwa timu za England, zingine zitaisha kwenye makundi na itakayojitahidi sana itafika 16 bora na si zaidi ya hapo.

Punguzeni wivu, kama nyie mmefulia msimu huu tuacheni sisi tutambe.

#TheBlues
 
 

Chelsia anakutana na Man City jumapili. Mourinho anaujua mziki wa watoto wa Etihad vizuri sana. Alikuwa anahofu silaha yake anayoiaminia isije pata mushkeri, ndo mana akamuanzishia benchi na si kwamba hakuwa fit.
Nasubiri kushudia hawa Man City wakimnyamazsha Mourinho, mana tumechoka.
 

hiyo UCL umebeba mara ngapi, tangu team yako ianzishwe miaka ya 1920's????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…