Wana Jamvi huenda tukapata moja ama mawili kuhusu hili hasa baada ya WIKILEAKS kumwaga tena nyaraka nyeti ambazo zinaibua kuwa Marekani hana RAFIKI ama URAFIKI wa KUDUMU. bali kama isemavyo ni PERMANENT INTERESTS tu ndizo ziwafanya wawe rafiki na yeyote yule.
Katika ripoti za WIKILEAKS zilizotolewa hivi karibuni CIA imekuwa ikiingilia na kuduakua chaguzi mbali mbali DUNIANI ikiwa ni pamoja na viongozi wa vyama VYOTE vikuu vya kisiasa. ili kupata STRATEGIC ELECTION PLANS na POST election Plans za viongozi hao.
Nchi moja ambayo imekerwa sana na ripoti hii ni nchi ya Ufaransa amabayo CIA walitumia mbinu mbili katika kudukua UCHAGUZI wa mwaka 2012 kwa muda wa miezi saba.
Mbinu walizotumia ni pamoja na ku infiltrate KUJIINGIZA na kujifanya KAMA WANACHAMA- {HUMINT} na
mbinu nyingine ni Kutumia electonic {SIGINT}. Mbinu hizi zililenga vyama vyote vikuu vya kisiasa ikiwa ni pamoja na aliyekuwa rais wakati huo Nicolae Sarkozy.
Kitu ambacho CIA walikitaka zaidi kutoka kwa Sarkozy ni JINSI GANI ANAELEWANA/ Ku relate na KU INTERACT na WASHAURI wake.
Ili kujua kama HUWASIKILIZA washauri wake ama HUJIFANYIA maamuzi yake binafsi.
Na ni nini PRIVATE deliberations/AZIMIO zake.
Pamoja na hayo CIA ilikuwa inataka kujua SOURCE ya fedha za UCHAGUZI ya kila chama na mgombeaji. Na ni nani aliyekuwa antoa HELA hizo.
Rais aliyeko sasa Francoise Hollande ambaye CIA ilimwona ni kama mtu atakayechukuwa mahali pa Sarkozy walikiingilia chama chake ikiwa ni pamoja na mgombeaji wa sasa Marine Len Pen miongoni mwa wengine.
Kitengo ndani ya State Department iliyokuwa ikiongozwa na Hillary Clinton- US State Department Intelligence Research Branch, Nacho kilihusika pakubwa ikiwa ni pamoja na KUWATAMBUA VIONGOZI WAPYA WANAOIBUKA nchini Ufaransa.
Jambo la ajabu Sakorzy alikuwa ni RAFIKI wa KARIBU sana wa Hilary Clinton na bado ALIMSALITI. Kando ya haya, nchi hizi ni WASHIRIKA WAKUU wa NATO na bado wanadukuana sijui itakuwaje.
Kitengo ndani ya CIA {OREA} Office of Russians Analysis, kilifuatilia kwa ukaribu sana kila hatua na kila chama na kila mgombeaji. Na kwa kujiingiza kwao kama WANACHAMA WAPYA waliweza kufanya hayo waliyoyafanya.
Je VYAMA vyetu hapa Tanzania VIWE ni CCM ama UPINZANI huwa tunauliza HUYU mtu ametoka WAPI?
Ama ili mradi ana HELA ya KUKIMWAGIA CHAMA husika basi TUNAMSOGEZA MSTALI wa MBELE?
Hili linaweza kutugharimu sana.
Je tuna cha kujifunza kama VYAMA na kama Nchi?