johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,142
- 164,564
Ni katika mjadala wa matumizi ya lugha ya kiswahili.Akitoa hoja zake Dr Kulangwa akasema kuna mwanamuziki mmoja ameimba hivi "wacha maneno weka vyeti" ndipo ukumbi mzima wa Nkurumah ukalipuka kwa shangwe na miluzi.
Anayajua huo wimbo unahusu nini na kwanini ukumbi mzima hadi viongozi walishangilia anijuze tafadhali!!
Anayajua huo wimbo unahusu nini na kwanini ukumbi mzima hadi viongozi walishangilia anijuze tafadhali!!