Winning Team
Member
- Jul 12, 2018
- 89
- 89
mkuu kwenye account yangu wameandika "PRIOR ADMISSION STATUS: THERE WAS A TECHNICAL ERROR RETRIEVING YOUR PRIOR ADMISSION STATUS. PLEASE LOGIN AND CHECK AGAIN LATER. "...Lakini jina langu lipo miongoni mwa majina yaliyotolewa na TCU kwamba nimechaguliwa kwenye vyuo viwili, UDSM na ARDHI; kwa upande wa ardhi nimeona lakini UDSM bado na natakiwa kuCONFIRM sasa na hata hiyo CODE sijapata
i wonder whyudsm chuo kikubwa lakini bado analogy. hii bongo hii ni shida...
sielewi wana shida ipi sasaMi mwenyewe udzm wananiandikia PRIOR ADMISSION STATUS: THERE WAS A TECHNICAL ERROR RETRIEVING YOUR PRIOR ADMISSION STATUS. PLEASE LOGIN AND CHECK AGAIN LATER. . cjui shida nini
tusubiri mkuuMe pia UDSM wananiandikia ivyo.... Sjui shida ni nn jmn......
Udom pia hawasemi chochote
Hoy, uliconfirm udsmmkuu kwenye account yangu wameandika "PRIOR ADMISSION STATUS: THERE WAS A TECHNICAL ERROR RETRIEVING YOUR PRIOR ADMISSION STATUS. PLEASE LOGIN AND CHECK AGAIN LATER. "...Lakini jina langu lipo miongoni mwa majina yaliyotolewa na TCU kwamba nimechaguliwa kwenye vyuo viwili, UDSM na ARDHI; kwa upande wa ardhi nimeona lakini UDSM bado na natakiwa kuCONFIRM sasa na hata hiyo CODE sijapata