jastin mwidete
Member
- Sep 2, 2018
- 13
- 0
Mwenye majna ya udsm nayaomba
Naona wamegoma kuyatoa au wana matatizo makubwa sana! Haieleweki lipi ni kati ya hayo.Mwenye majna ya udsm nayaomba
Mbona hamna kitu hapa mkuuBaada ya kusua sua UDSM wametoa Multiple selections yenye maelekezo. Mwisho September 10, ku-confirm.
Second selection vp boeOiiii wadau second selection udsm wanatoa lini?
Mkuu nimekuwekea fungua hiyo kitu, ita download halafu utasoma.Mbona hamna kitu hapa mkuu
Hiii c n ya wale multiple selection coz mm nimekosa mzumbe nd nackilizia udsm maan mm niliapply vyuo viwil tuMkuu nimekuwekea fungua hiyo kitu, ita download halafu utasoma.
Kwny iyoo list mm sipo xx cjajua kama nimepata ama veeep?Mkuu nimekuwekea fungua hiyo kitu, ita download halafu utasoma.
Kwny iyoo list mm sipo xx cjajua kama nimepata ama veeep?
Okay hp nimekupata vzrMkuu hiyo nilimuwekea Jemadari mwingine aliye ulizia.
Kwa upande wako nasikia unatakiwa uingie UDSM kwenye account yako, halafu utafute selection status yako na ndio utajua kama umepata au wapi. Sijaona orodha ya wale wenye single selection kwa UDSM.
Ok asante mkuu imekubaliMkuu nimekuwekea fungua hiyo kitu, ita download halafu utasoma.
Majina wameshatoa mkuu,ingia kwenye web yao ya udsmIv kwa wal 2liyo apply udsm p3kee it means ha2jpata multiple 2najuaje kama nimechagulw?
Wametoa list zote mbili za multiple na za wale waliochaguliwa kabisa ziko kwenye web site yao. udsm.ac.tz halafu ingia Announcements utakuta majina ya Mlimani, DUCE na MUCE.Okay hp nimekupata vzr
Mbna ukifungua mliman campus inakupeleka kwnye majina ya DUCE wakt mi nataka kuona ya UDSM??Wametoa list zote mbili za multiple na za wale waliochaguliwa kabisa ziko kwenye web site yao. udsm.ac.tz halafu ingia Announcements utakuta majina ya Mlimani, DUCE na MUCE.
Kuna inayoishia na JKN hiyo ndiyo ya mlimani.Mbna ukifungua mliman campus inakupeleka kwnye majina ya DUCE wakt mi nataka kuona ya UDSM??
Sent using Jamii Forums mobile app