UDSM online learning

UDSM online learning

potrayed

Senior Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
189
Reaction score
84
Wakuu naona mabadiliko yameanza ktk elimu yetu
Screenshot_20190517-210619.jpeg
 
Wakuu naona mabadiliko yameanza ktk elimu yetu
View attachment 1100721
Hii ni hatua kubwa sana. Nadhan wameona waende mbali zaidi, lakini pia ushindani katika soko. OUT wameleta mapinduzi makubwa sana katika elimu hasa kupitia distance learning.
Hawatoi PhD?
Big up UDSM. njoo upambane na OUT
 
OUT wapambane na TEKU si UD
 
Wanatoa shahada za kudownload? Ama ni uzamili na uzamivu tu?
 
Back
Top Bottom