UDSM na Project Planning and Management

Nov 24, 2019
16
19
Waungwana msaada tafadhali kwa wale wanaosoma au waliosomea UDSM.

Kuna degree program inaitwa Project Planning and Management naipenda sana lakini napenda sana Chuo Kikuu Dar es salaam nauliza hii degree program inatolewa UDSM?

Anayefahamu au aliyesomea hii degree program msaada tutani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kozi ya project planning and management haipo kwa chuo cha mlimani na pia hujatanabaisha kua unaitaka katika level ipi? Je bachelor degree, Masters degree au PhD?

Ila kwa ushauri tu kama unakizimia chuo cha mlimani na unataka kusoma hiyo kozi ambayo pale hamna basi kachukue kozi ya Applied Economics kwa level ya masters ndio niliona ila kwa bachelor degree sina hakika kama ipo.

Kozi hiyo ya Applied Economics haina tofauti sana na mambo ya project planning and management
Nawasilisha maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uvivu kijana, ebu ingia kwenye website yao ya chuo uchungulie kwanza.
 
Iyo program ipo UDSM inatolewa na idara ya geography COSS ni level ya MASTERS DEGREE
 
Waungwana msaada tafadhali kwa wale wanaosoma au waliosomea UDSM.

Kuna degree program inaitwa Project Planning and Management naipenda sana lakini napenda sana Chuo Kikuu Dar es salaam nauliza hii degree program inatolewa UDSM?

Anayefahamu au aliyesomea hii degree program msaada tutani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ngazi ya Bachelor hii kozi ya Project planning and management ipo Udom, Mwecau-moshi na Chuo cha maendeleo ya jamii Tengeru Arusha. Hii ni kwa TCU guide book ya 2019/20. Kwa mwaka huu 2020/21 bado hawajatoa guide book kuona kama kuna chuo kimeongezeka kutoa hii kozi kwa level ya Bachelor degree. Masters yake ipo pia mzumbe
 
Back
Top Bottom