Udsm na mzumbe ni confirm kp?

Udsm na mzumbe ni confirm kp?

Zero123

New Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
4
Reaction score
0
Nmepata vyuo vyote nilvyoapply,udsm nmepata coz ya b.in accounting na mzumbe nmepata baf in public sector ushaur wadau nconfirm wp?
 
Kama upo vizuri kasome BAF kwa manufaa yako ya bdae, ila kama ndio hivyo shule yake ni ngumu kidogo. UDSM sikushauri sana.
 
hata ungechaguliwa OXFORD kama huendi chuo kuwajibika utarudi tu MWEUPE na Cheti la LOWER CLASS

CHUO ni wewe mwenyewe.
 
Baf ni wide. Kasome hiyo. Although udsm inabaki kuwa juu.
 
Wewe unatokea mkoa gani? Je umeshawahi kuishi Dar au Moro before?

Kuna jambo nimeshindwa kulielewa . Udsm hawana eneo la kuweka confirm ila ipo eneo la ku reject tu sasa watajuaje kama umekubali kwenda chuo hicho?
Pili. Board ya mikopo bado haijafanya assessment ya majina sasa watajuaje.
 
nenda udsm... chuo sio kusoma tu.. hata kuishi maisha unaifunza ukiwa udsm
 
ukitoka udsm nakuhakikishia ngijanginja zote za maisha utakua unazijua.so nakushauri nenda udsm ukapige kitabu dogo
 
Kapige kitabu UDSM lakini pia ukimaliza chukua na CPA kabisa.

Nmepata vyuo vyote nilvyoapply,udsm nmepata coz ya b.in accounting na mzumbe nmepata baf in public sector ushaur wadau nconfirm wp?
 
Watu wanashauri wasioyoyajua. Kwanza kabisa dunia ya siku hizi swala la program moja kama zamani linapotea. Mfano bachelor of accounting peke yake au bachelor of finance, haya mambo yanapotea na nashangaa kwanini UD hawabadiliki. Siku hizi unakuta programs kama bachelor of accounting and IT, accounting and finance, finance and economics etc. Kuna mzungu mmoja niliona ana degree of accounting, finance and money. Huko ndio dunia inakoelekea sasa. Nakushauri nenda mzumbe ukafanye BAF, ukimaliza chukua CPA. utakuwa una accounting and finance na utakuwa na advantage kuliko yule mwenye accounting peke yake. Chukua huu ushauri hutojuta. Hapo ukiwa na finance means hata kazi za economics pia utafanya
 
Back
Top Bottom