UDSM mnakwama wapi?

Tonigawa

Member
Joined
May 24, 2018
Posts
13
Reaction score
5
Poleni kwa majukumu wasomaji.
Moja kwa moja niende hoja. Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mnakwama wapi hadi wanafunzi wenu wa Postgraduate wanashindwa kumaliza masomo yao kwa wakati!

Mwanafunzi anakusanya Dissertation report yake tayari kwenda kwa External Examiner lakini kwa zaidi ya miezi 6 kila akiuliza majibu ni bado hamjapata majibu kutoka kwa External Examiner!!

Na hii kitu ni tofauti na vyuo vikuu vingine hapa Tanzania! Uongozi wa UDSM mnakwama wapi? Mjitafakari na mchukue hatua!!

cc
Prof. Ndalichako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…