Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,147 Reaction score 2,513 Jun 7, 2022 #1 MLEMAVU WA MACHO ATUNUKIWA PhD Katika Mahafali ya 52 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Mzee Celestine Karuhawe ambaye ni Mlemavu wa Macho(Asiyeona Kabisa) alitunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD in Education) ambao ameusomea kwa takribani Miaka 7. Hakika Mungu ni mwema kila wakati.
MLEMAVU WA MACHO ATUNUKIWA PhD Katika Mahafali ya 52 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Mzee Celestine Karuhawe ambaye ni Mlemavu wa Macho(Asiyeona Kabisa) alitunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD in Education) ambao ameusomea kwa takribani Miaka 7. Hakika Mungu ni mwema kila wakati.
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,106 Reaction score 38,723 Jun 7, 2022 #2 Ashukuriwe Mungu kwa kweli japo PHD sio msaada sana kwa taifa letu
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,992 Reaction score 77,292 Jun 7, 2022 #3 Hongera Sana Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,223 Reaction score 27,061 Jun 7, 2022 #4 Disability is not inability Kongole kwa dakta.
Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,147 Reaction score 2,513 Jun 7, 2022 Thread starter #5 Amen
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,671 Reaction score 853 Jun 8, 2022 #6 Mungu ni mwema sana. Kanipa inspiratin kwa kweli. Mungu akipenda nitafanya PhD one day.
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,671 Reaction score 853 Jun 8, 2022 #7 Mkuu tumbili mweusi uliwahi kuwa PhD candidate UDSM ?
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,728 Reaction score 18,242 Jun 8, 2022 #8 We pamoja na macho yako yote mawili unapata lower second undergraduate [emoji1787][emoji1787]