UDSM kunani hapo?

Kwa kabda ya huu ujenzi wa library ,library ilikuwa hamna?
 
Lakini mleta mada hajasema majengo yavunjwe, kasema yawe na muonekano wa chuo si muonekano wa hostels, which means wayafanyia ukarabati kama new paintings, fixing what is broken, give it a good look, haina haja ya kuvunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…