UDSM kunani hapo?

Taarifa yako ni nzuri sana kwa ambao hawaijui udsm ipoje..ila kwa wanaoielewa kwa undani mkuu utakuwa kama unasimulia hadithi za Juma na Uledi...
.... Hiyo library nipo aware nayo, ni hatua nzuri. Sasa tupo 2017, Ni vizuri kuwa na plans, unfortunately people are only interested with results, neither your plans.
Na kwa Ujumla chuo kinaporomoka, juhudi za makusudi zinahitajika !
 
Taarifa yako ni nzuri sana kwa ambao hawaijui udsm ipoje..ila kwa wanaoielewa kwa undani mkuu utakuwa kama unasimulia hadithi za Juma na Uledi...
Hata sisi hatutaki kujua undani wowote, tunataka kujua baadhi ya mambo tu ya kawaida kama vile Maabara, hapa najua wanafunzi wa MBB hukaririshwa theory pure, hawafanyi probing, wala sequencing, wala cloning. Sijui kama tunaongea lugha moja.
Na vipi kuhusu hii website ya Chuo?
Halafu usisahau kuwa products za UD ndio hizihizi huku mtaani, hata kujieleza tu ni mgogoro.
Labda unataka tujue nini, ?
 
Pathetic,
Mbona mnaishia kwenye majengo tu?
Vipi kuhusu maabara? Na chuo kuporomoka kwenye ranks? Vipi hayo mazingira ya uchafu?
Hiyo website vipi? Au na wewe ndio viroba tena?
 
Piga za kwako kwa hyo smartphone nzur ya kwako utupie hapa
Mkuu hongera kwa mleta Uzi.Tatizo la watanzania hatukubali ukweli maana tumejaa mahaba ya kitu kuliko kuusema ukweli.badala ya kusaidia ili ukweli ujulikane wao wamejikita kusifia na kumkosoa mleta mada.Ukweli humuweka mtu huru.
 
Chuo kizima hakina hata wifi, kwa dunia ya leo ya sayansi na teknolojia bila internet ni sawa na bure.
Duh, Mimi nlidhani wale jamaa wa coict wangetuwekea prepaid WiFi DSM nzima waturahisishie maisha na waongeze pato la chuo,
Duh, hili ni Janga lingine.
 
Halafu hapo UDSM ndio wahandisi karibu wote wa nchi hii wametokea hapo, this is also killing.
Yaani ukiyaona yale majengo pamoja na upya wake lakini unaweza fikiri ni majengo ya mwaka 70 yaliyokarabatiwa. Majengo yale yapo barabarani yalipaswa kuwa kivutio lakini ni tofauti kabisa.
 
 
maprofesa wenyewe ndio hao kujipendekeza kwa wanasiasa kila siku wateuliwe..unategemea nani atakua na huo muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…