Udsm-kuna ugumu gani kama mngeweka hzo admission letters kwenye website yenu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udsm-kuna ugumu gani kama mngeweka hzo admission letters kwenye website yenu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Aug 30, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Inashangaza hawa jamaa wao wanasema eti admission letters znachukuliwa chuon,kwan kulikua kuna ugumu gani kama mngeziweka kwenye mtandao ili kila mtu aweze kuzipata kiurahc kama vyuo vingne walivyofanya?wengine huku inatuwia vigumu kujua ni kiasi gani cha pesa tunazotakiwa kuja nazo hapo mjini bana!
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  admission letter kuwekwa mtadaoni unaamanisha nini..?
  maana ile inakuwa na reference amabyo mara nyingi ndio admission namba yako .. kuhusu gharama zote zinahusika ziko kwenye tangazo la kufungua chuo nazipatikan kwenye hiyo website unayosema
  vinginevyo sijakuelewa ila ADMISSION LETTERS ni kwa individual either wakutumia kwa njia ya posta au email na hii naona wao wanaona ni usumbufu ukifika wanakupa barua yako halafu unaanza process za registration .. admission letter mwanzoni ndio kitambulisho chako
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Waungwana tujitahidi masuala mengine tuwe tunauliza kwanza,sasa admission letter waweke vipi kwenye mtandao. Hiyo barua ndiyo itakuongoza mpaka kufanyiwa usajili hapo chuoni. Kama ushaona jina lako mtandaoni nenda chuo kachukue barua.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mkuu,me niko mkoani.alafu kwan zle barua ambazo anatumiwa mwanafunz kwa ajili kuambiwa kuwa kawa admitted zenye maelezo ya ada inayotakiwa na michango mingne pamoja na ile medical form huwa znaitwaje?
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ok,nimekupata mkuu!
   
 6. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Maprofesa wazee wanaenzi enzi zao, ngoja nanihii astahafu ndio tutaingiza kwenye mtandao
   
 7. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Joining Instructions,inakuwa attached na admission letter. Pole sana
   
Loading...