UDSM hili linawahusu!

Hakika watakuwa wameota na majani ya kisamvu mashavuni.Wakionekana popote pale wapewe pongezi nyingi sana.
 
UDSM nilisoma miaka 4 baada ya kumaliza kuna vyakula sikuweza kula miaka mingi sana
1.chapati
2.mihogo
3.Wali maharage -mpaka leo sipendi
Hupendi wali maharage aka wali kwa maini ya kiswahili?Huna bahati.Huwezi kupata urafiki wa kalamu(pen-pal)na mzee Hashim Rungwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…