Khaaa!!! Angalia sasa. Yaani unaenda kusoma ili utengeneze website? Tena kwa kutumia templates? Angalia wenzenu wanavyoleta - Whatsapp, WeChat n.k. Ndio maana hata kutengenza Gateway Payment za mobile money wanafanya wakenya. Angalia sasa Wakenya wamekuja na PesaPal hadi mlangoni kwetu, nyie mwafikiria website tu...