boblyy sams
Member
- Jul 1, 2015
- 27
- 34
habarini za muda huu wakuu
Kwanza napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa chuo kikuu cha Dar-es-salaam kwa juhudi zao juu ya hili suala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
Pili ningependa kuonyesha kuridhishwa kwangu kuwa udsm ni chuo baba hapa Tanzania kwa kwa mfano tu wa hili jambo la mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza.Uongozi wa udsm umefanya kazi kubwa sana juu ya hili suala na matunda yake yatawafikia vijana wote ambao watasoma vyuo vingine(watoto wa udsm). Ni ukweli usio pingika kuwa kama udsm wangekaa kimya na kusaini ile mikopo basi hamna chuo kingine ambacho kingeweza kufuatilia juu ya hili suala.Tumshukuru tu baba kwa kutuwekea mazingira mazuri sisi watoto.
Hongereni udsm
Ukweli utabaki ni ukweli hata ukisemwa na mtu mmoja kati ya million na uongo utabaki kuwa uongo hata ukisemwa na watu million na kupingwa na mtu mmoja
c kwel hata kama familia wakihama baba atabaki ni yuleyule haiwez ikabadilika et first born ndo awe baba that's never broSerikali ikihamia Dodoma, UDOM watakuwa baba.
Waliosoma vyuo vya magomeni eeeheeee?Ujumbe wako ni mzuri sana lkn kuna vitu umeviongezea ambavyo sio vizuri kuviongea... wengine unawakwaza
tusubir majibu coz they have played their part kama viongoz lisingekuwa jambo la busara wao kama viongozi kuona kuna tatizo katika swala la mikopo and they sit and do nothinghabarini za muda huu wakuu
Kwanza napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa chuo kikuu cha Dar-es-salaam kwa juhudi zao juu ya hili suala la mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu
Pili ningependa kuonyesha kuridhishwa kwangu kuwa udsm ni chuo baba hapa Tanzania kwa kwa mfano tu wa hili jambo la mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza.Uongozi wa udsm umefanya kazi kubwa sana juu ya hili suala na matunda yake yatawafikia vijana wote ambao watasoma vyuo vingine(watoto wa udsm). Ni ukweli usio pingika kuwa kama udsm wangekaa kimya na kusaini ile mikopo basi hamna chuo kingine ambacho kingeweza kufuatilia juu ya hili suala.Tumshukuru tu baba kwa kutuwekea mazingira mazuri sisi watoto.
Hongereni udsm
Ukweli utabaki ni ukweli hata ukisemwa na mtu mmoja kati ya million na uongo utabaki kuwa uongo hata ukisemwa na watu million na kupingwa na mtu mmoja
tutawapa kozi fupi ya ujasiri kisha tuwakabidhi mikopa. ila tuliona wanaendelea na woga wao, tunawavua vyeo na kuanza kwenda wenyewe. Daruso ina pesa za kutosa zakutumika ktk kufuatilia haki za wanafunzi popote pale Tanzania.hahahhaahahahhaahhba kuna kaz udsm hongern saana maana mmepigana madogo wapate kaz ila nahoji tu kama mwanaudsm iv serekali yetu ikihamia dodoma hslb ofic zikienda dodoma je tutapakia magari kufuatilia haki dodoma au udom tuwarisishe