UDSM admissions round 2

Alaf tcu wanazingua iki chuo kwenye course za education c kilikua kimejaa sasa imekuaje watu tukose first round alaf second wachukue watu weng iv.
Nin kinaendelea tcu jaman huu c ubaguz kabsa.
 
Na udom na nyiny c mtoe tujiangalie kama tupo maana tunaweza kufa kwa presha kabla hatujafka chuo
 
Alaf tcu wanazingua iki chuo kwenye course za education c kilikua kimejaa sasa imekuaje watu tukose first round alaf second wachukue watu weng iv.
Nin kinaendelea tcu jaman huu c ubaguz kabsa.
Tena wamechukuliwa watu wenye vigezo vya KAWAIDA sana..!
Sasa sijui wamefanyaje...
Anyways, nafikiri hayanihusu..!
 
Mbona diploma wachache sana au ndo kusema hawatakiwi sanaa
 
Tena wamechukuliwa watu wenye vigezo vya KAWAIDA sana..!
Sasa sijui wamefanyaje...
Anyways, nafikiri hayanihusu..!
Mkuu nilkua nina two ya kum nmeachwa apo .
Alaf nmekosa na first round leo hii wamechukuliwa watu wengne alaf weng n two ya 12 na three.
Yan apo ndipo ninapo umia kichwa kuhusu utendaj wa tcu
 
Tena wamechukuliwa watu wenye vigezo vya KAWAIDA sana..!
Sasa sijui wamefanyaje...
Anyways, nafikiri hayanihusu..!
Wakati naomba kujiunga chuo, kwa watu waliomaliza shule niliyomaliza, walioenda UDSM wengi walikua na division 3.

Vipanga hakuna hata mmoja alienda huko. So nadhani issue sio kupasua, issue ni wanakuchagua ilimradi umekidhi vigezo vya kupata chuo
 
TCU majipu tena yanayo hitajika kutumbuliwa Leo ud wanatoa second selection haliakuw first round chuo kilijaaa na watu wakatemwa huu ni uhuni wa kusunbua wanafunz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…