Lazima wakubali aisee kwa sababu mimi nina kitambulisho cha mpiga kura hicho ni tosha kaka wengine hizo passpot za kusafria hatuna cz ndege tunazionaga angani kama sio kwenye viwanja,,leseni ya gari sina pia ,kitambulisho cha Taifa ndo sina kabisaa !