UDOSO Na Management ya UDOM kulikoni

Na usajili deadline hii hapa inakaribia
 
wew ndio kuwa makini na uhakika wako wa kizushi...jamaa kasema yupo chuo...
BIMA ipi yenu mnayotoa zaidi kuzidi wenye NHIF,AAR STRG ETC...kama sio kubabaisha wanafunzi kwa nini msiingie mikataba na hayo mashirika nanyi mkawa sehemu ya kutoa huduma zao...
Yaonyesha nawe ni mmoja wa mgt humo ndani....shaurianeni mazuri tukomboe nchi yetu...ACHENI UFISADI.
 

wewe huijui udom kaa kimya au ndiyo wanyonyaji wa udom ndiyo maana unawatetea
 
Udom magumashi wabongo hawapokelewi hostel wanahangaika mitaani wa mozambique wanaishi hostel kwa rahaaa mbongo anakimbizwa maajabu ya tz
 

udom ndio chuo pekee kinachofanya huu upuuzi yani inauma sanaaa aisee mtu unalipia hostel alafu unaishi offcumpus na viongozi wa wanafunzi wameshajaribu kulifuatilia hili mpaka mgomo ulipitika lakini viongozi wa chuo walikataa na kutoa sababu zisizo na mashiko na wana lazimisha BILA KULIPIA PESA ZOTE ZA DIRECT COST IKIWEMO NA ACCOMODATION HATA KAMA UNAISHI OFF CUMPUS HUTASAJILIWA KABISAA NA BOOM HUTASAINI DUUUUHHHH.
 
wazinguajiiiiiiiiiiiiiiiiii sana udom..
WANABOA Sanaa Awajui tuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…