Chuo cha Udom Na Udoso mnafanya mambo kama si wasomi hivi inakuwaje MTU yupo off campasi halafu mnasema lazima alipe hela ya hosteli Na ya Bima wakati constitution ya chuo inasema wazi kama MTU akiwa Na mimba au Mtoto haruhusiwi kukaa hostel
Sasa hii hela mnayotaka ya hosteli Na MTU hatakaa ndani ya hostel kwa maana anakaa nje kwasababu anamlea Mtoto je huu si ufisadi jamani ni chuo gani duniani kitafanya decision kama hii bila kujali wanachuo huu ni ujinga uliopitiliza
ukiwa na mimba hulipi unaonyesha kibali ulichopewa cha kukaa nje then ts over....otherwise ukute huna kibali au umelipa kabla ya kibali hutorudishiwa......kingne kinschoumiza ukizdsha ada bahat mbaya hawarudishi hata km laki tano utazungushwa mpk umalize chuo yan walinkera sana
Yani MTU una Mtoto unaambiwa lazima ulipe hostel ni unyanyasaji huu jamani
kwani form yako si ina kipengele kinachoonesha unataka kuishi wapi?Kama ulisema unataka kuishi ndani ya chuo then kwa mbwembwe zako ukaona ufahari kuishi nje lipa hela ya watu hadi mwakani au semester ijayo uandike barua upya ya kuomba kuishi nje ya chuo.
"hivi hili swala umelipitisha kwenye uongozi wa ma block yenu/warden wako?maana unakuta umesikia tu"
Mwaka wa tatu mkuu nakumbuka huu ndio mwanzo wa muhula
Ninavyoongea hapa ninamaanisha maana huyo warden au dean of students hana lakusema Na hili tangazo katoa mkuu wa chuo nipo Dodoma ndugu usidhani ni taarifa za kusadikikaTuwe makini na taarifa tunazotoa kwenye mitandao.
Nina uhakika hata chuo bado hujaenda uko tu nyumbani unapiga simu unauliza mambo yanavyoenda thn unakimblia kulalamika huku jf.
Form ya registration ya warden ina sehemu ya kujaza km unakaa offcampus au hostel. Km unataka kukaa offcampass lazima uandike barua ya kuomba kibali kwa dean of students.
Kibali hicho ndicho utakitumia Wakat wa usajili ili usilipie hostel.
Kuhusu suala la bima siwez kulitolea ufafanuz ila mwaka jana wale wenye bima walilipa kiasi kidogo kwa ajili garama ambazo kwa kawaida hazilipiwi kwa bima