UDOSO mafisadi wakubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOSO mafisadi wakubwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namboyo, Apr 18, 2011.

 1. n

  namboyo Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha dodoma imekumbwa na ufisadi mkubwa zaidi ya shilingi mia hamsini nane milioni wahusika mwenyekiti coed na spika coed .pia viongozi wa wanafunzi wa chuo cha dodoma wamefanya ufisadi mwingine wa kwenda afrika kusini bila idhini ya wanachuo pia viongozi hawa wametumia pesa za wanafunzi kwa anasa kwenda kuzurura afrika kusini .pia ufisadi mwingine umefanywa na viongozi wa federation kuchukua hela zaidi ya walizo pangiwa wahusika na kufanya matanuzi,kwa sababu hiyo basi tunawaomba wanafunzi wote wa chuo cha dodoma kuwachukulia hatua pamoja na kuwashitaki mahakamani kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ili kukomesha tabia ya ufisadi inayofaywa na viongozi wa serikali ya wanafunzi kuanzia serikali ya kwanza hadi iliyopo sasa
   
Loading...