akili yako finyu sana, inawezekana hata udom kwenyewe haujafika.
Hakuna chuo mfano wake afrika mashariki na kati.
Madogo nendeni mkasome, mwisho wa siku inaangaliwa ufaulu wako na wala sio chuo ulichosoma.
Udom sasahivi imeimarika sana, miundombinu yote imeshakamilika, kuanzia malazi, maktaba, maabara, usafiri, waalim, viwanja vya michezo mpaka mabwawa ya kuogelea.
Mkifika msibabaishwe na mapenzi manake kuna maelfu ya mabinti wa kila namna,
komaeni mtengeneze gpa.
Ulevi na wanawake ndio mtihani mkubwa.
All the best!