Hakuna anayetegemea ila humu tunajuzana mambo yanavyoendelea. Ni muhimu kujua mambo yanavyokwenda ili utoe matumaini. Wanafuatilia humu ujue walipiga oral.
Hata mimi nilifanya tangia January mwanzoni lakini bado sijaitwa pamoja na kupata taarifa kutoka kwa wenzangu, ila nimesikia mwishoni mwa mwezi huu wa pili au mwanzoni wataita.