B balongo Member Joined Feb 15, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Feb 17, 2012 #1 Wana jf mwenye data atujuze kuhusu waliofanya oral interview wameshaitwa kazini?
Askari wa miguu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 344 Reaction score 124 Feb 17, 2012 #2 nackia bado...rumours
kvelia JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 246 Reaction score 45 Feb 19, 2012 #3 Hata mimi nilifanya tangia January mwanzoni lakini bado sijaitwa pamoja na kupata taarifa kutoka kwa wenzangu, ila nimesikia mwishoni mwa mwezi huu wa pili au mwanzoni wataita.
Hata mimi nilifanya tangia January mwanzoni lakini bado sijaitwa pamoja na kupata taarifa kutoka kwa wenzangu, ila nimesikia mwishoni mwa mwezi huu wa pili au mwanzoni wataita.
M Mwesiga Florid Member Joined Oct 20, 2011 Posts 16 Reaction score 0 Feb 21, 2012 #4 balongo said: Wana jf mwenye data atujuze kuhusu waliofanya oral interview wameshaitwa kazini? Click to expand... wa2 washaaza kuitwa so endelea kutegea masikio.
balongo said: Wana jf mwenye data atujuze kuhusu waliofanya oral interview wameshaitwa kazini? Click to expand... wa2 washaaza kuitwa so endelea kutegea masikio.
B balongo Member Joined Feb 15, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Feb 21, 2012 Thread starter #5 Mwesiga Florid said: wa2 washaaza kuitwa so endelea kutegea masikio. Click to expand... Yakweli hayo au ndio unaleta utani wenu?
Mwesiga Florid said: wa2 washaaza kuitwa so endelea kutegea masikio. Click to expand... Yakweli hayo au ndio unaleta utani wenu?
Quirine Member Joined Jul 6, 2011 Posts 64 Reaction score 10 Feb 21, 2012 #6 watu wa fani mbalimbali wanaendelea kuitwa hata mimi kuna jamaa yangu alishaitwa
M Mwesiga Florid Member Joined Oct 20, 2011 Posts 16 Reaction score 0 Feb 21, 2012 #7 balongo said: Yakweli hayo au ndio unaleta utani wenu? Click to expand... ya kweli mkuu Library Officers wameitwa jana.
balongo said: Yakweli hayo au ndio unaleta utani wenu? Click to expand... ya kweli mkuu Library Officers wameitwa jana.
B balongo Member Joined Feb 15, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Feb 21, 2012 Thread starter #8 Mwesiga Florid said: ya kweli mkuu Library Officers wameitwa jana. Click to expand... Nashukuru kwa taarifa wakuu. Ngoja niwe karibu na simu yangu.
Mwesiga Florid said: ya kweli mkuu Library Officers wameitwa jana. Click to expand... Nashukuru kwa taarifa wakuu. Ngoja niwe karibu na simu yangu.
N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Feb 22, 2012 #9 Quirine said: watu wa fani mbalimbali wanaendelea kuitwa hata mimi kuna jamaa yangu alishaitwa Click to expand... Hivi ni fani zipi wameshaitwa ili tuendelee na mambo yetu. Nao wangetoa tu majina kwenye mtandao wao.
Quirine said: watu wa fani mbalimbali wanaendelea kuitwa hata mimi kuna jamaa yangu alishaitwa Click to expand... Hivi ni fani zipi wameshaitwa ili tuendelee na mambo yetu. Nao wangetoa tu majina kwenye mtandao wao.
B balongo Member Joined Feb 15, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Feb 22, 2012 Thread starter #10 Quirine said: watu wa fani mbalimbali wanaendelea kuitwa hata mimi kuna jamaa yangu alishaitwa Click to expand... Tuwe tunapeana taarifa, mimi nilifanya interview ya nafasi ya Laboratory Engineer.
Quirine said: watu wa fani mbalimbali wanaendelea kuitwa hata mimi kuna jamaa yangu alishaitwa Click to expand... Tuwe tunapeana taarifa, mimi nilifanya interview ya nafasi ya Laboratory Engineer.
Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 202 Feb 22, 2012 #11 balongo said: Wana jf mwenye data atujuze kuhusu waliofanya oral interview wameshaitwa kazini? Click to expand... udom ni kujuana sana pale,usikute watu wameshaanza kazi zamani kabisa
balongo said: Wana jf mwenye data atujuze kuhusu waliofanya oral interview wameshaitwa kazini? Click to expand... udom ni kujuana sana pale,usikute watu wameshaanza kazi zamani kabisa
K Kayombe Lyoba Member Joined Feb 19, 2012 Posts 5 Reaction score 1 Feb 23, 2012 #12 Jaman hata mimi nlfanya inter hapo toka december 15 mpaka leo,embu 2juzane akina nani wa kada zp wameitwa?
Jaman hata mimi nlfanya inter hapo toka december 15 mpaka leo,embu 2juzane akina nani wa kada zp wameitwa?
N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Feb 25, 2012 #13 Kayombe Lyoba said: Jaman hata mimi nlfanya inter hapo toka december 15 mpaka leo,embu 2juzane akina nani wa kada zp wameitwa? Click to expand... Jamani mwenye data kama UDOM wameshaita watu kwa nafasi zote?
Kayombe Lyoba said: Jaman hata mimi nlfanya inter hapo toka december 15 mpaka leo,embu 2juzane akina nani wa kada zp wameitwa? Click to expand... Jamani mwenye data kama UDOM wameshaita watu kwa nafasi zote?
M Mpigaji JF-Expert Member Joined Feb 6, 2011 Posts 384 Reaction score 42 Feb 26, 2012 #14 Mwesiga Florid said: ya kweli mkuu Library Officers wameitwa jana. Click to expand... Mawarden wanaitwa leo.
Mwesiga Florid said: ya kweli mkuu Library Officers wameitwa jana. Click to expand... Mawarden wanaitwa leo.
N nkwezi Member Joined May 8, 2007 Posts 57 Reaction score 19 Feb 27, 2012 #15 Mpigaji said: Mawarden wanaitwa leo. Click to expand... Vipi wanaendelea kuitwa? Tujuzane kwa nafasi walizoita?
Mpigaji said: Mawarden wanaitwa leo. Click to expand... Vipi wanaendelea kuitwa? Tujuzane kwa nafasi walizoita?
M Mwesiga Florid Member Joined Oct 20, 2011 Posts 16 Reaction score 0 Feb 28, 2012 #16 Mpigaji said: Mawarden wanaitwa leo. Click to expand... wengine cjajua mkuu.
M Mwesiga Florid Member Joined Oct 20, 2011 Posts 16 Reaction score 0 Feb 28, 2012 #17 Mpigaji said: Mawarden wanaitwa leo. Click to expand... thx for that newz
S samoramsouth Senior Member Joined Jan 16, 2011 Posts 192 Reaction score 30 Mar 1, 2012 #18 mi nimepigiwa cm leo, natakiwa nikafanyiwe interview
Pilitoni JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 1,201 Reaction score 515 Mar 3, 2012 #20 Ndugu yangu unategemea sana ajira za udom?hao hawana lolote,mizengwe kibao!no transparency at all,ni chuo ambacho mambo yake siyakubali !subiri ndugu.
Ndugu yangu unategemea sana ajira za udom?hao hawana lolote,mizengwe kibao!no transparency at all,ni chuo ambacho mambo yake siyakubali !subiri ndugu.