Jaman nimeandikiwa congratulation you have been selected lakn coz zote nilizoomba zipo pale sijajua wanamaana gani naomben ushauli tafadhari wenye uelewa na hili
we kweli thatiphiketi ujaelewa nini kwenye huo ujumbe mbona unaeleweka kuwa umechaguliwa.Wewe cha muhimu andaa ada tu na ukasome sio ukacheze kama ulivyofanya sekondari.