[HASHTAG]#Tunachakata[/HASHTAG] maombi yenuWadogo zetu tokea tumewafanyia application za diploma tena kwa gharama kubwa ya 50000, tokea mwezi wa nane hadi sasa hawatoi majibu, huo ni uzembe mkubwa sana maana wanapaswa kutoa majibu mapema ili kama hawa wadogo zetu wakiwa wamekosa tuwafanyie alternatives.
sua wametoa second round degree?Udom wanaboa sana mm nimeomba sua nimepata lkn pia udom nimeomba mpaka leo bado tuu Sua wanafungua tarehe 17 mungu saidia wachaguo kabla ya tareh 17 niende Udom.
acha ulofa wew nenda sua au unaogopa misuli heavy ya pale suaUdom wanaboa sana mm nimeomba sua nimepata lkn pia udom nimeomba mpaka leo bado tuu Sua wanafungua tarehe 17 mungu saidia wachaguo kabla ya tareh 17 niende Udom.