INFOT 23
Member
- Jul 14, 2016
- 18
- 12
Hii inawahusu form six 2016 wasio na sifa za kwenad vyuo vikuu,kuna kozi nzuri nzuri sana kama pharmacry etc.
BONYEZA HAPA KUAPPLY
BONYEZA HAPA KUAPPLY
Kwa sis wa HKL je?Hii inawahusu form six 2016 wasio na sifa za kwenad vyuo vikuu,kuna kozi nzuri nzuri sana kama pharmacry etc.
BONYEZA HAPA KUAPPLY
Kwaio wenyewe UDOM hawajui kuwa kuna nacte au labda ni matapeliKwenda youdomu kwa sasa ni kumbip ba je.skai hataki hii mambo mbona hamwelewi?
Ombeni kupitia nacte over
Hawa jamaa sijaelewa, muongozo si unawataka wanafunzi wote wapply kuptia NACTE, inakuwaje huyu UDOM naye anatangaza udahili wake, mbaya zaid nimeingia kwenye CAS yake ana demand ulipe kwanza ndio uweze kufanya app, hili ni jipu.Hii inawahusu form six 2016 wasio na sifa za kwenad vyuo vikuu,kuna kozi nzuri nzuri sana kama pharmacry etc.
BONYEZA HAPA KUAPPLY
hlo jpu ltatumbuliwa system ya udahil lazm iptie nacte kurupuka uone xx #hapkaztu
Ni koz za science tupu?Na application 50000
Koz ni science tu?mi mwenyewe nilitaka kuomba ila naofia kutumbuliwa badae, kwanza vigezo walivyoweka mbona simple sana xo nawasiwasi maana sikuizi Dhaaaaaaaa. Acha tu. Simple badae inakua COMPLEX
Sasa aply mhimbili kwenye entry requirements za juu,,,, kama htaki ndgo,,,Koz ni science tu?