Huwezi kulifunika jua na ungo.Katika chuo kikuu cha Dodoma jambo la kushangaza ni uongozi wa juu umeamua kublock SSID UDOM FACEBOOK. Kwani kila unapotaka kufungua Facebook inakataa na kwa jambo hilo limeleta utata na wanafunzi wanalalama kwa nini Chuo imeamua kufanya ivyo.
Wana JF je hili ni halali ama kutakuwa na sababu iliyojificha.
safi sana wawafungie kila kitu si chuo cha CCM hicho
Wanataka kuwafanya wanajamii wa UDOM waishi kama enzi za kina Zinjatropas!
Mkuu nadhani haujamwelewa vizuri mtoa mada, hawajafungiwa internet bali wameiblock facebook kitu ambacho nakiunga mkono kwa asilimia 100%.
Mkuu nadhani haujamwelewa vizuri mtoa mada, hawajafungiwa internet bali wameiblock facebook kitu ambacho nakiunga mkono kwa asilimia 100%.
unadhani hawajui ni ubishi tu, watu wamewekewa facilities kwa ajili ya kusoma wanataka ku add friends na post picha pumbaf kabisa