udom vp jamanii?

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
jaman napenda kuuliza kwa waliofanya oral interview trh 8 mwezi wa 3 vp jaman wameita? maana kitaa hapafai ndugu zangu. kama una mwenye taarifa naomba 2juzane...., mbarikiwe sana
 
kama ni ile ya ASSISTANT ACCOUNTANT mtu wangu kwenye ile interview ya oral ulijionea ile panel ilivyokuwa ya kinafiki hasa yule jamaa mweupe ambae ni assistant hr na yule jamaa mweusiiii kama muhaya na mshikaji mrefu alievaa makubazi upande wa kulia,wote hawa ukiwasoma haraka utagundua mission yao ilikuwa moja kupitisha watu waliowataka.Na tafiti zinaonesha katika college mbalimbali pale UDOM kulikuwa na wahasibu 8 waliokuwa wamejitolea nao pia walikuwamo katika interview.na hii ndio maana wakaita watu 24 katika oral kwa kigezo cha kanuni za usaili wa ratio ya 3:1 yaani nafasi moja wnagombania watu 3.kinyume na tangazo lilionesha post 17,tulitaraji oral waitwe 54.kula kimya mwana yawezekana wameshaitana wanajuana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…