salosalo JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 598 Reaction score 281 Sep 28, 2012 #21 prakatatumba said: we uliomba? Click to expand... Sikuchelewesha maana kulikuwa na post ambayo walihitaji mtu mwenye sifa nilizonazo kasoro tu hawakunitaja jina.
prakatatumba said: we uliomba? Click to expand... Sikuchelewesha maana kulikuwa na post ambayo walihitaji mtu mwenye sifa nilizonazo kasoro tu hawakunitaja jina.
K Kikomelo Senior Member Joined Sep 12, 2011 Posts 106 Reaction score 57 Sep 29, 2012 #22 Jeff said: kwani walisema documents ziwe certified? sijaona hilo sharti kwenye tangazo lao Click to expand... Ni vyema kusoma matangazo kwa umakini, ona sasa umeshajikosesha nafasi hata ya kuitwa kwenye interview! Punguzen papala!
Jeff said: kwani walisema documents ziwe certified? sijaona hilo sharti kwenye tangazo lao Click to expand... Ni vyema kusoma matangazo kwa umakini, ona sasa umeshajikosesha nafasi hata ya kuitwa kwenye interview! Punguzen papala!
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Sep 29, 2012 #23 Kikomelo said: Ni vyema kusoma matangazo kwa umakini, ona sasa umeshajikosesha nafasi hata ya kuitwa kwenye interview! Punguzen papala! Click to expand... nimewaambia wakanikashifu,
Kikomelo said: Ni vyema kusoma matangazo kwa umakini, ona sasa umeshajikosesha nafasi hata ya kuitwa kwenye interview! Punguzen papala! Click to expand... nimewaambia wakanikashifu,
salosalo JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 598 Reaction score 281 Sep 30, 2012 #24 prakatatumba said: we uliomba? Click to expand... Niliomba mkuu maana kuna moja ya nafasi hapo sifa zote zinazotakiwa mimi ninazo.,
prakatatumba said: we uliomba? Click to expand... Niliomba mkuu maana kuna moja ya nafasi hapo sifa zote zinazotakiwa mimi ninazo.,
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Sep 30, 2012 #25 salosalo said: Niliomba mkuu maana kuna moja ya nafasi hapo sifa zote zinazotakiwa mimi ninazo., Click to expand... haya subirini mtaitwa
salosalo said: Niliomba mkuu maana kuna moja ya nafasi hapo sifa zote zinazotakiwa mimi ninazo., Click to expand... haya subirini mtaitwa
Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 202 Sep 30, 2012 Thread starter #26 prakatatumba said: we uliomba? Click to expand... sina swali, vii wamefikia wapi kwa hiyo kuna tetesi zozote za majina kutoka?
prakatatumba said: we uliomba? Click to expand... sina swali, vii wamefikia wapi kwa hiyo kuna tetesi zozote za majina kutoka?
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Oct 1, 2012 #27 Jeff said: sina swali, vii wamefikia wapi kwa hiyo kuna tetesi zozote za majina kutoka? Click to expand... kuwa mvumilivu jiandae na Mlacha maana haya mambo ya ajira wengine wanakimbia wengine wanapakimbilia
Jeff said: sina swali, vii wamefikia wapi kwa hiyo kuna tetesi zozote za majina kutoka? Click to expand... kuwa mvumilivu jiandae na Mlacha maana haya mambo ya ajira wengine wanakimbia wengine wanapakimbilia
H Hajiii Member Joined Apr 1, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Oct 1, 2012 #28 Wengi wanapata matangazo kupitia kwa watu(mdomoni) halaf wanakuwa wabishiii.
U ulanzi mtamu Senior Member Joined May 19, 2012 Posts 102 Reaction score 12 Oct 2, 2012 #29 Mie niliomba Post ya Procurement/Supplies & Logistics Officer na nimesikia maombi ni zaidi ya 600 kwenye hii post. DUUU!
Mie niliomba Post ya Procurement/Supplies & Logistics Officer na nimesikia maombi ni zaidi ya 600 kwenye hii post. DUUU!
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Oct 2, 2012 #30 ulanzi mtamu said: Mie niliomba Post ya Procurement/Supplies & Logistics Officer na nimesikia maombi ni zaidi ya 600 kwenye hii post. DUUU! Click to expand... kesha ukiomba, je waliomba administrative officer ukiambiwa idadi yao s ndiyo utachoka kabisa halafu nafasi 15
ulanzi mtamu said: Mie niliomba Post ya Procurement/Supplies & Logistics Officer na nimesikia maombi ni zaidi ya 600 kwenye hii post. DUUU! Click to expand... kesha ukiomba, je waliomba administrative officer ukiambiwa idadi yao s ndiyo utachoka kabisa halafu nafasi 15
Kamaka JF-Expert Member Joined Jun 7, 2010 Posts 563 Reaction score 33 Oct 3, 2012 #31 Vigezo kibao next time wanaweza wakaomba muweke original kabisa................