UDOM: Special Diploma tunaenda au hatuendi?

UDOM: Special Diploma tunaenda au hatuendi?

Tyr

Member
Joined
Nov 5, 2015
Posts
37
Reaction score
0
Mwenye kujua jamani kwa nini sisi Special Diploma hatupewi mkopo na Chuo kinafungua keshokutwa tu.

Mimi binafsi sijapatiwa mkopo majiuliza kwa hali hii tutaenda kweli bila mkopo?
 
So, Mbona Walituambia Ttume Maomb Ya Mkopo Sasa ?
 
Mwenye Kujua Jaman Kwa Nn Sisi Special Diploma Hatupewi Mkopo Na Chuo Kinafungua Keshokutwa Tu, Mm Binafsi Sjapatiwa Mkopo Najiuliza Kwa Hali Hii Tutaenda Kwel Bila Mkopo?

Dogo wewe nenda chuoni, hela itakufuata hapo chuoni lakini nenda na hela ya kutumia kwa muda wakati unasubiria bodi imwage hela zenu.
 
Habarini za saa hizi wadau wa JF naomba kufahamishwa utaratibu wa utoaji mikopo kwa wanafunzi walochaguliwa kujiunga na stashahada maalum katika chuo kikuu cha dodoma.

Maana kuna baadhi ya wanafunzi hao walituma maomb ya mkopo na bado hawajapata na tarhe ya kufungua chuo n tarh 14.

Naomba kufahamishwa tafadhar NATANGULIZA SHUKRANi!
 
Nyie hamuombi mkopo,,,,nyie mnapewa moja kwa moja ukija chuo utasaini mkwanja unakuja,,,
 
hamkosi wewe ikifika tarehe 14nenda karipoti chuoni,,,, majina utayakuta kule kule nyie hakuna mtu anayekosa ndio maana majina yenu hayotagi kwenye web yao,, na ni asilimia mia mnapata,,,, masomo mema.
 
dah thankc xana mdau. . .hv inachukua mda gan ad mkopo kutoka maana nahc itabd twend na pesa ya ktoxha
 
hamkosi wewe ikifika tarehe 14nenda karipoti chuoni,,,, majina utayakuta kule kule nyie hakuna mtu anayekosa ndio maana majina yenu hayotagi kwenye web yao,, na ni asilimia mia mnapata,,,, masomo mema.

Kuna ndgu angu had sa iv hajaomba!! Inawezekana kuombea chuon???
 
huku nilipo hakuna tawi la benki naruhusiwa kulipia chuoni yaani niende na hela tu inawezekana au nilazima nilipe kabla ya kuripot
 
huku nilipo hakuna tawi la benki naruhusiwa kulipia chuoni yaani niende na hela tu inawezekana au nilazima nilipe kabla ya kuripot

Katib unaruhusiwa kulipa hata bank za chuo ila siku hiyo ya kuripot foleni itakuwa kubwa sana so itabidi ujipange kwa hilo !
 
Back
Top Bottom